Maji kwa uwezo mkubwa yanaongeza uwezo, nguvu na kinga ya mwili, ujuzi huu wote unahusisha pia dhidi ya kansa.
7. Maji ni wakala mhimu katika mmeng’enyo wa vyakula karibu vyote, vitamini na madini.
8. Maji yanatumika kusafirisha vitu vyote mwilini, maji yanapoifikia seli, huipa pia oksijeni na kuchukuwa hewa chafu hadi kwenye mapafu ili kutolewa nje ya mwili.