Akitumia akaunti yake ya Instagram, Haji Manara ameandika kuwa goli alilofunga Okwi dhidi ya Mtibwa ni tiba tosha kabisa kwa matatizo mbali mbali.
"Hili goli la Okwi unaweza kulipia faini za matrafik barabarani ,pia unaweza lipia mkopo benki na kwenye vicoba,,na ukiwa na matatizo ya uzazi na chango,huna haja ya kwenda kwa Dr Mwaka,hili goli ni tiba sahihi" aliandika hivyo msemaji huyo.
Simba inatarajiwa kuvaana na Njombe Mji wikendi hii jijini Dar es salaam.