Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
[emoji137] [emoji137] [emoji137]Wapi jakitoo
[emoji137] [emoji137] [emoji137]Wapi jakitoo
Pilau haitamuacha salama Dada wa watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124]
Mbona inasemwa kuwa Robert ni mlokole, imeekaaje hiyoNi kweli Kiongozi.
Robert sio Mtu mzuri hata kidogo.
Na alikuwa na mpango wa kumuoa.
Ingawa kulikuwa na Uvumi wa kichini chini ya kuwa walishafanya Ndoa ya Siri
Mlokole R Kely ni kiwembeAisee. Jamaa naye huwa haangalii makunyanzi. Ile kesi nyingine aliyokuwa akishtakiwa kwa kulala na kasichana kengine under age na wakajirekodi kabisa naona alichomoa. Inaonekana jamaa ni hatari sana !!!