Safi kabisa shimba[emoji4]Sema binti. Siku yako imeendaje? Tumshukuru Mungu !!!
Tafiti hizi zinachukua miaka. Unakuwa na sample unaifuatilia kwa muda mrefu. Na mara nyingi jamaa wana wanasayansi wao wanawalipa ili kupindisha ukweli...Hivi iweje nanyi kwenye nchi kama hizi msifanye tafiti mnasubiri kukaririshwa?
Nchi za Kiafrika masikini dah !!!
Huyu bibi sijamuona siku nyingi kweliHiyo ni kweli, hivi ulinionea nsamaka leo
Nakutafuta sanaHuyu bibi sijamuona siku nyingi kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Likes ni tamu mkuu kuliko usingizi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tupo mkuuWagonga likes
Acha kabisaKipindi kile Goddess ISIS akikimbiza hapa 24/7 kweli watu walikuwa hawalali. Siku hizi wala!
Pamoja mkuuRafiki, ingawa katika siku za hivi karibuni kasi yetu imepoa, lakini bado naziona jitihada zetu za kuupandisha Uzi huu. Hongera sana