Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

fd1d25938c2464a45c91922eccefb8c7.jpg
Huu mdomo kama anapuliza moto[emoji23][emoji23]
 
Tafiti hizi zinachukua miaka. Unakuwa na sample unaifuatilia kwa muda mrefu. Na mara nyingi jamaa wana wanasayansi wao wanawalipa ili kupindisha ukweli...

Sisi tafiti za aina hii hatuna mazoea nazo. Zinahitaji pesa nyingi na ukitaka kuzifanya utakuja kushangaa wafadhili wa utafiti wako ni hao hao. Kabla hujakaa sawa unapata mwaliko kwenda kwao - first class, tena ubebe na mkeo na watoto wawili. Wiki mbili hotelini mnakula na kunywa bure. Wanakuuliza unachotaka kuprove ni nini. Anyway, ukija kurudi ama huna hamu ya kuendelea na utafiti wako au unaendelea nao wakati matokeo unayajua tayari. Ukiumaliza hata hamu ya kuchapisha matokeo huna...

Trials za madawa mengi zinafanywa na madaktari ambao wanalipwa na makampuni ya madawa. Data zinapikwa. Side effects za kawaida tu. Madawa yanapitishwa. Baada ya miaka 10 ndo kimbembe kinafumuka lakini tayari watu ni mabilionea tayari...

Sisi acha tubakie na TWAWEZA yetu tu basi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yote hayo nayajua mkuu, cha kujiuliza ni hii tabia ya kutegemea ufadhili hata kwa mambo ya msingi kama haya. Hivi uko wapi Uhuru wetu. Baasi basi. Gonga likes tusonge mbele haya mengine yananipa "kihoro" acha yapite kama yalivyokuja
 
Nimegundua kimiujiza sana kwamba kumbe sometimes paraboz zinakuja tu nachurale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Cole tulimcheka bure tu kipindi kile.

[emoji117][emoji117][emoji117] Kuna site ya vijana wa Kihindi wanajifunza Kiingereza kwa njia hii ya paraboz nami hupita huko kuwasaidia kunyoosha Kiingereza chao. Koromije na Kiingereza wapi na wapi? Ila wananiheshimu balaa wanafikiri pengine native speaker [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya hahaha
 
Imagine mtu huna kadeni hata kamoja. Yatakuwa maisha gani hayo? Kama sitadaiwa benki basi kwa wakwe lazima niwe na deni la mahari. Miaka na miaka tunazungushana kama alivyotufanyia Andjul kwa Nsamaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa tukuyu hatari sana
 
Back
Top Bottom