Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c3cb91926b99ea25e1880e3fd26db072.jpg

[emoji7] [emoji7]
 
Yote hayo nayajua mkuu, cha kujiuliza ni hii tabia ya kutegemea ufadhili hata kwa mambo ya msingi kama haya. Hivi uko wapi Uhuru wetu. Baasi basi. Gonga likes tusonge mbele haya mengine yananipa "kihoro" acha yapite kama yalivyokuja
Hivi sisi hapa kuna hata chombo kinachoshughulika na kutoa pesa kwa watafiti? TWAWEZA wao pesa huwa wanatoa wapi?
 
Back
Top Bottom