carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Coleee[emoji137][emoji137][emoji137]Mimi ni Nani hata nipendwe na carbamazepine na nikatae
Ndo nini kupotea hivi?
Coleee[emoji137][emoji137][emoji137]Mimi ni Nani hata nipendwe na carbamazepine na nikatae
Mkuu mkuu[emoji23][emoji23]Wakuu Wakuu
Imagine sasa wameanza kusema kuwa fluoride tunayofakamia kwenye dawa za meno na kwenye maji inarundikana ubongoni na pengine ndiyo sababu kuu ya magonjwa kama dementia na Alzheimer. Ikiwa ni kweli, ni kweli walikuwa hawajui? Mavidonge mengi ya kisukari na hata kansa wakati mwingine yana madhara kuliko hata ugonjwa wenyewe. Kesi kila leo lakini kwa vile wanapiga pesa ndefu jamaa hawajali. Hata haya mavyakula yaliyobadilishwa kisayansi haya subiri miaka 30 huko mbele ya safari utasikia matatizo yake. Hapa ndipo binadamu huwa namdharau kabisa kabisa !!!Afya zetu zimekuwa ni mitaji ya kutajirisha watu.
Haya madawa tunatumia basi tu,madhara yake ni makubwa mno.
Mfano:leo wapewa dawa huambiwi side effects,kesho unaanza kukohoa ukienda wanakupa dawa nyingine,ukipata side effects huambiwi wapewa dawa nyingine,mwisho wa siku unapata liugonjwa la ajabu ambalo hata halieleweki
Ndio dunia ilivyo,kwanza tunatengeneza bidhaa tukisha piga pesa ndio tunajifanya tafiti zinasema matumizi ya hizi bidhaa si mazuri na blah blah kibaoHahaha, inawezekana. Maana wajerumani wana kampuni nyingi wanaozalisha taa hizo wakiongozwa na OSRAM na THORN. wameshapiga pesa sasa wanajifanya kuleta unafiki
Mkuu hapa bongo hakuna maonyo ya aina hiyo, labda waanze kuyaweka sasaMarekani huko zina maonyo kabisa kuwa ikivunjika fungua madirisha upesi na toka chumbani mpaka hewa iingie kwa wingi. Na kuna vituo ambako unapaswa kuzipeleka na siyo kuzitupa hovyo hovyo. Mercury ikiingia kwenye mapafu/ardhini ni hatari huko mbele ya safari !!!
Sidhani kama haya mambo wanayoyafanya huwa hawajui madhara yake.Imagine sasa wameanza kusema kuwa fluoride tunayofakamia kwenye dawa za meno na kwenye maji inarundikana ubongoni na pengine ndiyo sababu kuu ya magonjwa kama dementia na Alzheimer. Ikiwa ni kweli, ni kweli walikuwa hawajui? Mavidonge mengi ya kisukari na hata kansa wakati mwingine yana madhara kuliko hata ugonjwa wenyewe. Kesi kila leo lakini kwa vile wanapiga pesa ndefu jamaa hawajali. Hata haya mavyakula yaliyobadilishwa kisayansi haya subiri miaka 30 huko mbele ya safari utasikia matatizo yake. Hapa ndipo binadamu huwa namdharau kabisa kabisa !!!
UbarikiweNilikuta hii makala sehemu,kwavile wengi wetu ni watumiaji kwa namna moja ama nyingine nikaona si vibaya niki share na nyie
Amin[emoji120][emoji120]Ubarikiwe
Dunia ni uwanja wa vitaAfya zetu zimekuwa ni mitaji ya kutajirisha watu.
Haya madawa tunatumia basi tu,madhara yake ni makubwa mno.
Mfano:leo wapewa dawa huambiwi side effects,kesho unaanza kukohoa ukienda wanakupa dawa nyingine,ukipata side effects huambiwi wapewa dawa nyingine,mwisho wa siku unapata liugonjwa la ajabu ambalo hata halieleweki
Acha kabisaDunia ni uwanja wa vita
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kibongo bongo hiyo haimo,tunatupa jaralalani watoto wanaokota wanapasua wenyewe hatuna habari na madhara.
Nenda kwenye uwanja wao ukajionee povuHakuna nchi ambayo haina madeni. Wamarekani wenyewe sasa wana mzigo mzito wa madeni ya Wachina mpaka wanakosa nguvu hata moral authority ya kuwakoromea Wachina...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona hivyo jua kuwa Jakitoo amekaba kila kona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni kweli, hivi ulinionea nsamaka leoTunapishana ndio mana nikasema hivyo