mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
18:2901:38
18:2901:38
LalaMIMI NI NANI HATA NISILALE KWA DAKIKA 180.NALALA
Energy saver bulb zipo miaka mingi sana kwenye matumizi yetu. binafsi nimezitumia kwa namana tofauti tofauti, mahali tofaui. kuzisambaza, kuzivunja, kuziharbu nk. Leo ndiyo mara ya kwanza napata maelezo ya aina hii ukiachana na yale ya ki-umeme. Asante mkuuBulb hizi zinaweza kukusababishia Kansa
Utafiti uliofanywa Maabara uligundua kwamba hizi balbu pia zina sumu zinazoweza kukusababishia kansa
Phenol, tindikali hii yenye chembechembe nyeupe zenye sumu inapatikana katika makaa ya mawe na inatumika kwa matumizi ya viwanda
Taa hizi zina wingi wa mionzi ya UV
Mionzi hii ya UV si mizuri kwa afya ya ngozi na inaweza kukusababishia kansa ya ngozi.
Baada ya kusoma haya maelezo unaweza kuchagua kuendelea kutumia balbu hizi kwa maana gharama zake ni nafuu, kama utafanya hivyo basi yakupasa kusoma maelekezo na kujua jinsi ya kukabiliana na mercury(zebaki) na kemikali zinazoweza kukusababishia kansa.
Fanya hivi kabla ya kutoa bulb iliyopasuka;
Watu na wanyama waondoke katika chumba
Fungua madirisha na milango kwa mda wa dakika 5-10
Kitu kingine mkuu mc lyteDA BRAT na MC LYTE.
![]()
Aseee!!!!FISTULA NA MATIBABU YAKE.
Fistula ni nini?
kitaalamu ni tundu ambalo silo la kawaida linaloonganisha viungo viwili vya binadamu, kwa kawaida viungo vya binadamu havina matundu lakini matundu haya yanapotokea huitwa fistula, mfano tundu kati ya koo la hewa na chakula, tundu kati ya uke na njia ya choo, tundu kati ya njia ya uke na mkojo.
fistula ya uzazi hutokea pale panapokua na tundu kati ya njia ya choo kubwa, choo ndogo na uke au njia ya uzazi...hali hii husababisha kinyesi na mkojo kupita sehemu za siri.
Hahahahaha kujua haya mambo ni uamuziKiongozi;
Upo deep sana na haya mambo ya muziki. Ni mtangazaji wa muziki kwenye kituo cha redio somewhere ama?
Yaani unawajua utafikiri umekua nao mitaa ya Tukuyu dah !!!
Okfistula husababishwa na nini?
kwa nchi zilizoendelea kama marekani, fistula husababishwa na kutumia vifaa vya kuzalisha pale mama anaposhindwa kusukuma kwa njia ya kawaida yaani mpka asaidiwe kitaalamu kama forceps au vacuum delivery lakini kwa nchi ambazo hazijaendelea kama tanzania fistula husababishwa na uchungu wa muda mrefu ambapo mtoto anakandamiza kibofu cha mama au utumbo mkubwa na kusababisha damu kushindwa kufika eneo hilo na kuoza au kuchanika, hali hii ndio huleta tundu hilo la fistula.
sababu zingine ni kuvunjika kwa mifupa ya mapaja, saratani mbalimbali za uzazi,kubakwa,kutoa mimba au makosa wakati wa upasuaji wa kizazi, mionzi ya matibabu ya kansa, magonjwa ya zinaa kama kaswende, ugonjwa wa kichocho
Ndiyo kawaida yao. Wanatengeneza mavidonge yenye madhara makubwa na wanajua kabisa. Watu wanakunywa weee miaka 10 huko mbele ya safari watu wanagundua kwa mavidonge yale ni mabaya. Wanashtaki na jamaa wanalipishwa dola bilioni mbili au nne wakati vidonge vyao vimeshawapatia bilioni hata 80. Naamini hata kansa ni miradi ya watu tu kupiga pesa - vita, currency collapse and the list goes on and on...Wanapiga pesa kwanza
Its likes this it's like that for all y'allDA BRAT - For all y'all
Sawadalili za fistula ni zipi?
kutokwa na mkojo au choo kubwa sehemu za siri hasa wakati wa usiku bila kujitambua au kushindwa kuzuia.
harufu kali sehemu za siri
kuugua ugonjwa wa njia ya mkojo mara kwa mara maarufu kama uti
maumivu makali ya uke na sehemu zinazozunguka
maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
msongo wa mawazo
kukosa siku za mwezi
kuharibika kwa mimba zijazo
ugonjwa wa ngozi sababu ya mkojo kumwagikia ngozi
[emoji256][emoji256][emoji256]vipimo gani hufanyika kugundua fistula?
kipimo cha picha ya utrasound hutumika sana kuangalia kama kuna tundu ambalo sio la kawaida limetokea kwenye sehemu hizo za siri.
Umesomekamatibabu ya fistula.
fistula ikigundulika mapema huweza kutibiwa kwa kuingiza mpira wa mkojo kitaalamu kama catheter na kuuacha hapo mpka tundu lile litakapoziba, mpira huweza kubadilishwa kulingana na na muda mgonjwa atakaotibiwa, dawa za kuua bacteria hutolewa na mgonjwa huwekewa drip za maji mengi ili kuongeza damu katika eneo husika kitu ambacho husaidia kupona haraka.
matibabu yakichelewa mgonjwa hutakiwa kufanyiwa opasuaji na daktari bingwa ili kushona tundu hilo, kwa hapa tanzania upasuaji huo ni bure kabisa katika hospitali ya CCBRT dar es salaam.
Marekani huko zina maonyo kabisa kuwa ikivunjika fungua madirisha upesi na toka chumbani mpaka hewa iingie kwa wingi. Na kuna vituo ambako unapaswa kuzipeleka na siyo kuzitupa hovyo hovyo. Mercury ikiingia kwenye mapafu/ardhini ni hatari huko mbele ya safari !!!Energy saver bulb zipo miaka mingi sana kwenye matumizi yetu. binafsi nimezitumia kwa namana tofauti tofauti, mahali tofaui. kuzisambaza, kuzivunja, kuziharbu nk. Leo ndiyo mara ya kwanza napata maelezo ya aina hii ukiachana na yale ya ki-umeme. Asante mkuu
Mkuu BAK
Kuna kujua na kujua. Huyu jamaa siyo kuwa anajua ila anajua hasa....Hahahahaha kujua haya mambo ni uamuzi
Rolls Royce chuma
Sawawingi wa damu; h ichi ni moja ya vipimo muhimu sana kwa wajawazito kwani upungufu wa damu kipindi hiki ni moja ya vyanzo vikuu vya kifo cha mama na mtoto.jipindi hiki mama damu yake haitakiwi ipungue chini ya 10g/dl na hutakiwa kutumia virutubisho vya kuongeza damu kama madini ya chuma, folic acid au mchanganyiko wa vyote kwa jina la haemovit.
Vemavirusi vya ukimwi; kuna watu wengi ambao ni waathirika wa virusi vya ukimwi lakini hawajui, kipindi hichi ni muhimu sana kujua afya wako kwani mimba inapunguza sana kinga ya mwili na kutafuna virutubisho kwenye mwili wa mama ili mtoto akue. hivyo ikifahamika wewe ni muathirika utapata faida kuu mbili; kwanza kupewa dawa za kuzuia maambukizi ya mtoto aliyeko tumboni na wewe pia kuishi vizuri pili uweze kuwalinda uwapendao.
Umeelewekakipimo cha malaria : unaweza kua unadharau huu ugonjwa lakini ni moja ya vyanzo vikuu vya kutoka mimba, ndio maana mama hupewa vidonge vya sp katika kipindi fulani cha ujauzito ili kujizuia na malaria. lakini pia malaria inawez a kuua mama na mtoto hivyo kutumia neti kipindi hki ni muhimu sana.
Asante daktari kwa ushauri wakomwisho; kuna maelekezo mengi na mahudhurio kadhaa mabayo mama hutakiwa ayafanye mpaka kipindi cha kujifungua, hivyo ni vema kwenda kliniki kama ulivyoelekezwa na kupokea chanjo zote muhimu na virutubisho muhimu ili kumpata mtoto mzima na mwenye afya.