carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kifaduro
ni ugonjwa unaoambukiza na kusababishwa na vimelea vya bacteria ambavyo huitwa Bordetella pertusis. Ugonjwa huu huenezwa kwa njia ya hewa na huwapata hasa watoto wenye umri wa chini ya mwaka mmoja. Kifaduro huzuiwa kwa chanjo yenye mchanganyiko wa chanjo za kuzuia dondakoo, pepopunda, homa ya ini, homa ya uti wa mgongo na kichomi yaani DTP-HepB-Hib ambayo kwa kitaalamu hujulikana kama Pentavalent . Chanjo ya kwanza hutolewa katika umri wa wiki sita, ya pili ni katika wiki 10 na ya tatu akiwa na umri wa wiki 14.