Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zimekuja nachurale shemeji. Nilikuwa nadhani nimeshavuka kipindi cha kuimba paraboz kumbe walaaaa! Hata sijui kama ninayemwimbia anajali au ananicheka tu. Haya mambo ni magumu shemeji na usiombe yakakutokea. Imagine kwako ikutokee macho yalee anayo halafu jamaa na kupika anajua anakuletea brekifasti kitandani na message professional anafanya mwenyewe halafu we unaimba paraboz jamaa yuko mbali au hajali. Utafanya nini mbali na kuumia tu kimya kimya?

[emoji117][emoji117][emoji117]Niko salama shemeji. Afadhali leo umeonekana siyo kama jana ulipita tu vu bin vuuu...
Acha kabisa shemeji haya mambo magumu kwakweli
Natamani kufuta kauli ya macho yale basi tu[emoji23][emoji23]
Hata sijui nazungumza nini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jana mambo yalibana sana ndio mana
 
Energy saver bulb zipo miaka mingi sana kwenye matumizi yetu. binafsi nimezitumia kwa namana tofauti tofauti, mahali tofaui. kuzisambaza, kuzivunja, kuziharbu nk. Leo ndiyo mara ya kwanza napata maelezo ya aina hii ukiachana na yale ya ki-umeme. Asante mkuu
Nilikuta hii makala sehemu,kwavile wengi wetu ni watumiaji kwa namna moja ama nyingine nikaona si vibaya niki share na nyie
 
3b6c3e31364e9a26d0c883cf60b1c79f.jpg
 
Back
Top Bottom