Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumekafuma kaandaeitini kakiwa naitiklabu. Ni shida. Kaka mkubwa Mzee wa River itabidi aingilie kati vinginevyo itakuwa yale yale kijana kaenda majuu kusomea udaktari anarudi akiwa DJ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaa pengine haka kajamaa passion yake ilikuwa ni u DJ! Cha muhimu pesa tu, kama inachanganyia kwenye u DJ ni sawa tu! [emoji23][emoji23]
 
Hahaa pengine haka kajamaa passion yake ilikuwa ni u DJ! Cha muhimu pesa tu, kama inachanganyia kwenye u DJ ni sawa tu! [emoji23][emoji23]
Hapo Nimekupata. Siyo lazima kufuata matakwa ya wazazi. Fanya ile kitu roho inapenda...na usije ukasahau kuwa ni utani tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…