Pochettino aliongeza: "Daima huwa nawaambia wachezaji wangu kuwa ni mechi ya kufurahia - chezeni, kimbieni, muwe huru, jaribuni kucheza kwani kucheza katika kiwango hicho ndiyo ndoto yetu, mara zote, tangu nilipoanza miaka mitatu iliyopita, kucheza Ligi ya Mabingwa, dhidi ya Real Madrid tena ndani ya Bernabeu. Soka ni raha.