Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naam unapocheza ni lazima utunze utambulisho wako na ushindane kweli. Michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu uliopita haikuwa vizuri kwetu kwani hatukushindana vema, lakini katika mechi hizi tatu [dhidi ya Borussia Dortmund, APOEL na Real Madrid] Nadhani timu imepevuka, na hatuchezi tu, bali tunashindana kweli na hilo ndilo jambo muhimu."
 
Tupo katika nafasi nzuri sana," aliendelea. "Tuna pointi saba sawa na Madrid. Inapendeza. Changamoto yetu ni kufika hatua nyingine na tumefurahia matokeo. Nafurahi kwa ajili ya mashabiki wetu, kwa ajili ya timu na kikosi chetu pia. Nimejawa na furaha tele."
 
Mabingwa hao wa msimu wa 2015-16 wameachana na kocha wao, Foxes wakiwa wanashika nafasi ya 18 kwenye jedwali la Ligi Kuu
Leicester City wamemfukuza meneja wao Craig Shakespeare kufuatia mwendo wa ushindi mmoja tu katika mechi nane Ligi Kuu Uingereza msimu huu.
 
Craig Shakespeare aliondolewa kibaruani King Power Stadium kwenye mkutano wa Jumanne kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya West Brom Jumatatu.
Meneja huyo alichukua mikoba ya Claudio Ranieri Muitaliano huyo alipotupiwa virago Februari Leicester wakiwa katika hatari ya kushuka daraja.
 
Ikumbukwe Leicester walitwaa ubingwa Ligi ya Uingereza hapo awali, lakini msimu uliopita walimaliza nafasi ya 12 baada ya kuzinduka miezi iliyofuata, hivyo Shakespeare akapewa mkataba wa miaka mitatu mwezi Juni.
Matokeo mabovu ya klabu hiyo - ambapo walishindwa kuifunga Huddersfield Town, Bournemouth na West Brom - yaliilazimu bodi ya klabu kuchukua maamuzi dhidi ya kocha wao.
 
Kaimu mwenyekiti wa Leicester, Aiyawatt Srivaddhanaprabha, aliiambia tovuti rasmi ya klabu: “Craig amekuwa mtumishi mwema kwa Leicester City - katika kipindi chote alichokuwa meneja msaidizi na tangu alipochukua mikoba ya kuinoa klabu katika mazingira magumu Februari. Kujitoa kwake na mchango wake kwa klabu vimeisaidia sana Leicester City katika historia ya klabu.
 
Lakini ahadi yetu katika utawala wa Craig haijathibiti, na tangu bodi ilipoliona hilo tumeona ni muhimu kufanya mabadiliko ili kuiwezesha klabu kusonga mbele kufikia malengo na matarajio ya mashabiki, bodi na wamiliki.
 
Back
Top Bottom