NINTH GATE CLOSEDnaona sasa mmelala
Hahaha sawa mkuu
NINTH GATE CLOSED
naona sasa mmelala
Yup naangalia movie!Naona nawe bado upo macho atiii
I know! Maisha yamebadilika!Nafikiria ile raha ya sikukuu enzi za utoto, unatamani usiku usiwepo kesho yake ifike
I know! Maisha yamebadilika!
Ohh that is nice of you! Kwa kweli ni jambo la kumshukuru Mola wetuUsiku huu nimejikuta nawafikiria marafiki ambao nikicheza nao au kusoma nao na haeapo duniani sasa hivi kuona teknolojia ilivyobadikika
Ohh that is nice of you! Kwa kweli ni jambo la kumshukuru Mola wetu
Mimi huwa niko positive kwa kila jambo, ninaamini huko tunako elekea ni baraka zaidi!Yaani kwa kweli sana sanaaaaaaaa
Huko mbeleni memgi yanakuja
Yup inategemea na mood yangu! HahahahaNaona avatar zako nawewe unazibadili pia
Wengine tunazoea kumtambua mtu kwa picha then mnatupa kazi ya kuzoea mpya eeeeh
Maana ya kwako ni hiyo hiyo tu!Naona avatar zako nawewe unazibadili pia
Wengine tunazoea kumtambua mtu kwa picha then mnatupa kazi ya kuzoea mpya eeeeh
Sis bado unasukuma gurudumu. Wewe kweli ni kamanda...Mimi huwa niko positive kwa kila jambo, ninaamini huko tunako elekea ni baraka zaidi!
Kama TB Joshua anavyosema 'good times are gone but the time are now and forever!
Toa likes za kutosha pia kabla hujalala!Ila kabla sijalala nichapeni likes za chap chap