Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi huwa niko positive kwa kila jambo, ninaamini huko tunako elekea ni baraka zaidi!
Kama TB Joshua anavyosema 'good times are gone but the time are now and forever!

TB joshua napenda kumsikiliza pia kwa kweli. Navutiwa sana na maneno yanayofundishwa, mtu unaweza kujikuta hata ulikuwa hujui kama maneno mengine yapo kwenye biblia na kuisoma kote kwakweli kuna kusahau ma ni pana sana.
 
Sis bado unasukuma gurudumu. Wewe kweli ni kamanda...

Maisha bila kuwa positive ni hopeless and frustrating!

Nikipoanza kukua na kujitegemea nilijikuta nakimbia sana marafiki wanaopenda kuwa negative... nakuwa sasa huyu ukikaa nae masaa matatu malalamiko hakuna jambo mtu haongei mazuri shaaaa... nakupita hukooooo kwa kukukimbia kiaina hata nikikuchekea
 
Usiku huu nimejikuta nawafikiria marafiki ambao nilicheza nao au kusoma nao na hawapo duniani sasa hivi kuona teknolojia ilivyobadikika
Mimi pia marafiki zangu wengi wametangulia. Sisi tuliobaki kuna jukumu ambalo Mungu Anataka tulitimize hapa duniani kabla safari yetu haijakamilika. Kwangu mimi naamini ni kusaidia binadamu wenye shida. Hakuna kitu kinachonipa ridhiko la kweli hapa duniani kama kumsaidia binadamu mwenzangu bila kutegemea cho chote kutoka kwake.
 
Ni jambo jema, huwa navutiwa sama na hata kwa watoto yatima kwenye sehemu tofauti. Yaani inakupa raja sana sana na hata kusomesha watoto hata siwajui tangu zamani ila naona wao kupokea chochote ni baraka kwao na furaja kwako na mimi ya milele.

Dunia ina mengi jamani ya kujipa raha
 
TB joshua napenda kumsikiliza pia kwa kweli. Navutiwa sana na maneno yanayofundishwa, mtu unaweza kujikuta hata ulikuwa hujui kama maneno mengine yapo kwenye biblia na kuisoma kote kwakweli kuna kusahau ma ni pana sana.
Hata uisome vipi mtumishi mzuri wa Mungu atakuletea angle ambayo kamwe hujawahi kuifikiria. Jumatano hii nikamsikiliza mtumishi mmoja akielezea mkasa wa Yona kwa namna ya kipekee kabisa. Daima kuna jipya la kujifunza!
 
Wow kwa kweli ni vizuri hadi inampa mtu raha sana.

Wengi humu wanatumia lugha mbaya, ila mimi nikikumbuka enzi za Makonda mwaka huu basi ningekula life ban na sijawahi kupata ban humu... sifikiri kama wale weak wangeweza maneno niliyorushiwa..wanaandika maneno machagu machafu unajikuta unacheka na kujibu lolote bali huwatukani.

Hilo jambo wengi hawalitambui maishani, kuwa haya ya kujijazia hasira halafu kwa kitu ambacho hakikuhusu kukuumiza ngozi yako ni inakuwa tabia zao na ukuaji wao.

Hadi PM kuna walikuja kunitishia maisha nikasoma sikuwajibu, ikawapa hasira zaidi eeeeeh kisa forum watu hatujuani na ni kuburudika

Dunia ina mambo, haitaki mtu uwe na hasira kali
 
Ni jambo jema, huwa navutiwa sama na hata kwa watoto yatima kwenye sehemu tofauti. Yaani inakupa raja sana sana na hata kusomesha watoto hata siwajui tangu zamani ila naona wao kupokea chochote ni baraka kwao na furaja kwako na mimi ya milele.

Dunia ina mengi jamani ya kujipa raha
Nadhani hili ndilo lengo letu binadamu hapa duniani japo hatulijui. Hata ukitajirika namna gani siku yako ikifika utaondoka tu na kuuacha utajiri wako. Ndiyo maana akina Bill Gates wanatumia utajiri wao karibu wote kujaribu kutatua matatizo ya watu masikini. Faraja yangu ni kwenda huko mahospitalini na kuwaliwaza wagonjwa sugu waliotelekezwa na ndugu zao. Hawa wana hadithi tamu zenye kuliza na kuliwaza na zilizojaa mafundisho. Najenga urafiki nao na wengine wanapoondoka hapa duniani huwa ni jukumu langu kuwalaza kwa heshima katika nyumba yao ya milele. Ooooh faraja iliyoje!
 
Back
Top Bottom