Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Prof. Lumumba naye anageuka legend kama vile Mzee Mugabe...Ananikumbusha debate mashuleni. Shule pinzani mkiona inawazidia njia rahisi ya kuwashinda ni kuporomosha mabomba tu...Hivi imeandikwa lugha gani hapo?msaada tafadhali
Hongera kwa kufunga ndoa [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]