Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kicheko kiwe kicheko kweli na siyo kicheko cha gheresha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwema?Hahahahaha
Mkuu niajeWee mzee jiangalie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Japo nini mkuuHabari njema japo.....
Kwema mkuu habari za kwako na familia kwa ujumlaMkuu kwema?
Zidumu Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa chama. CCM Oyeeeeeeee !!! Halafu toka hapo ukaropoke sijui unakosoa nini...
Asisahau kumwambia akiliki na kwenye akaunti yangu ili anifolo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Habari yako mkuuIngia kwenye profile yake click follow utakua umeshamfollow
Safi sana. Hajaluzi hata weiti. Mungu Mkubwa aisee [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]