Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171018-WA0041.jpg
 
Hizo nyusi vipi tena? Anapelekewa moto ama? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Kwema mkuu? Za kupotea. Mrejesho please? [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Salamu hiyo ilikuwa imenikaa sana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu wetu hajawahi kutuacha njiani pamoja na magumu yote.
Habari ya Mbagala? Hata sijui mara ya mwisho lini uliwasalimia hata kwa barua Wakoromije(hasa mama)?? Kwa sasa nipo salama kabisa ila uchovu wa safari tu
 
Huyu mwanao?
Niliona kwenye magrupu ya WhatsApp kuwa alikuwa ametoroka nyumbani (Dar) na alikuwa ameokotwa huko Morogoro na ndugu zake walikuwa wanatafutwa. Likes hizi ni shida yaani mtu unarusha tu picha potelea mbali...Na ukijibiwa unitagi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom