Pole sana. Nitakucheki. Koromije hawajambo. Mungu Wetu Anastahili Kuabudiwa milele [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu wetu hajawahi kutuacha njiani pamoja na magumu yote.
Habari ya Mbagala? Hata sijui mara ya mwisho lini uliwasalimia hata kwa barua Wakoromije(hasa mama)?? Kwa sasa nipo salama kabisa ila uchovu wa safari tu
TWAWEZA imefika mpaka Ulaya?
Amen[emoji120] [emoji120]Pole sana. Nitakucheki. Koromije hawajambo. Mungu Wetu Anastahili Kuabudiwa milele [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
How about Arsenal fans? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wewe[emoji35][emoji35]Mungu wetu hajawahi kutuacha njiani pamoja na magumu yote.
Habari ya Mbagala? Hata sijui mara ya mwisho lini uliwasalimia hata kwa barua Wakoromije(hasa mama)?? Kwa sasa nipo salama kabisa ila uchovu wa safari tu
Karibu mkuu...Consuela hajambo?Mko poa humu
Bora tumeanza tutetewa na shujaaa zamaradi[emoji23][emoji23][emoji23]Team flat screen kusanyikeni hapa kuna ujumbe wenu wa kujifariji. [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hajambo, yaani kanitight[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu mkuu...Consuela hajambo?
Avatar hii jamani. Halafu tangu uanze kuitumia yaani ni kama vile umepoa kidogo. Aisee kama ni hivi afadhali tu uturudishie vurugu zetu za yule mama mwenye baiskeli na pipa lake kichwani. Kha !!!Jion tamu
Nimekuona ona huko mkuu. Usiwe unapotea sana huku pia !!!Nilikuwa majukwaa mengine wapendwa
Hivi ile bajaji hujaitafutia plate number mpya??Amen[emoji120] [emoji120]