cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mimi huwa niko positive kwa kila jambo, ninaamini huko tunako elekea ni baraka zaidi!
Kama TB Joshua anavyosema 'good times are gone but the time are now and forever!
ExactlySis bado unasukuma gurudumu. Wewe kweli ni kamanda...
Maisha bila kuwa positive ni hopeless and frustrating!
OkToa likes za kutosha pia kabla hujalala!
Sis bado unasukuma gurudumu. Wewe kweli ni kamanda...
Maisha bila kuwa positive ni hopeless and frustrating!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Toa likes za kutosha pia kabla hujalala!
Mimi pia marafiki zangu wengi wametangulia. Sisi tuliobaki kuna jukumu ambalo Mungu Anataka tulitimize hapa duniani kabla safari yetu haijakamilika. Kwangu mimi naamini ni kusaidia binadamu wenye shida. Hakuna kitu kinachonipa ridhiko la kweli hapa duniani kama kumsaidia binadamu mwenzangu bila kutegemea cho chote kutoka kwake.Usiku huu nimejikuta nawafikiria marafiki ambao nilicheza nao au kusoma nao na hawapo duniani sasa hivi kuona teknolojia ilivyobadikika
Maana ya kwako ni hiyo hiyo tu!
Bashite hajambo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana nimeibadili ile ya mdomo nilikuwa nawapa nafasi wale kusema sema eeeeeeh
Ipo poa kubadili, sasa hivi nimeweka hiyo hiuo bali in GIF ya kusukuma kibichwa hukooo eeeeeh
Mimi pia marafiki zangu wengi wametangulia. Sisi tuliobaki kuna jukumu ambalo Mungu Anataka tulitimize hapa duniani kabla safari yetu haijakamilika. Kwangu mimi naamini ni kusaidia binadamu wenye shida. Hakuna kitu kinachonipa ridhiko la kweli hapa duniani kama kumsaidia binadamu mwenzangu bila kutegemea cho chote kutoka kwake.
Naiona kwa kweli, very nice!Hapana nimeibadili ile ya mdomo nilikuwa nawapa nafasi wale kusema sema eeeeeeh
Ipo poa kubadili, sasa hivi nimeweka hiyo hiuo bali in GIF ya kusukuma kibichwa hukooo eeeeeh
Hata uisome vipi mtumishi mzuri wa Mungu atakuletea angle ambayo kamwe hujawahi kuifikiria. Jumatano hii nikamsikiliza mtumishi mmoja akielezea mkasa wa Yona kwa namna ya kipekee kabisa. Daima kuna jipya la kujifunza!TB joshua napenda kumsikiliza pia kwa kweli. Navutiwa sana na maneno yanayofundishwa, mtu unaweza kujikuta hata ulikuwa hujui kama maneno mengine yapo kwenye biblia na kuisoma kote kwakweli kuna kusahau ma ni pana sana.
Bashite hajambo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naiona kwa kweli, very nice!
Kushua ndio kufanyaje ?Yaani wewe ulishanishua humu kuwa unanipita bila likes na mie nakuacha ulivyo.
Huyo uliyemuulizia simfahamu.
Biblia Takatifu ni kila kitu kwenye maisha!Hata uisome vipi mtumishi mzuri wa Mungu atakuletea angle ambayo kamwe hujawahi kuifikiria. Jumatano hii nikamsikiliza mtumishi mmoja akielezea mkasa wa Yona kwa namna ya kipekee kabisa. Daima kuna jipya la kujifunza!
Hata uisome vipi mtumishi mzuri wa Mungu atakuletea angle ambayo kamwe hujawahi kuifikiria. Jumatano hii nikamsikiliza mtumishi mmoja akielezea mkasa wa Yona kwa namna ya kipekee kabisa. Daima kuna jipya la kujifunza!
Yaani wale kiboko lakini wewe unawaweza! Mimi nilikuwa naishia kuwatukana na kuwa ignore! Nikajikuta nime ignore kama watu 30! HahahahaHa ha haaaaa nawapa hiyo wale wanaopenda kubishana kwenye forum... unawajua eeeeeh
Nadhani hili ndilo lengo letu binadamu hapa duniani japo hatulijui. Hata ukitajirika namna gani siku yako ikifika utaondoka tu na kuuacha utajiri wako. Ndiyo maana akina Bill Gates wanatumia utajiri wao karibu wote kujaribu kutatua matatizo ya watu masikini. Faraja yangu ni kwenda huko mahospitalini na kuwaliwaza wagonjwa sugu waliotelekezwa na ndugu zao. Hawa wana hadithi tamu zenye kuliza na kuliwaza na zilizojaa mafundisho. Najenga urafiki nao na wengine wanapoondoka hapa duniani huwa ni jukumu langu kuwalaza kwa heshima katika nyumba yao ya milele. Ooooh faraja iliyoje!Ni jambo jema, huwa navutiwa sama na hata kwa watoto yatima kwenye sehemu tofauti. Yaani inakupa raja sana sana na hata kusomesha watoto hata siwajui tangu zamani ila naona wao kupokea chochote ni baraka kwao na furaja kwako na mimi ya milele.
Dunia ina mengi jamani ya kujipa raha
Yup inategemea na mood yangu! Hahahaha
Analeta siasa hata huku. Just ignore!Yaani wewe ulishanishua humu kuwa unanipita bila likes na mie nakuacha ulivyo.
Huyo uliyemuulizia simfahamu.