carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Na leo hujapata tena??[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wewe, jiangalie.
Haki ya nani tafuta plate namba mpya ndugu(halafu niko serious ujue)
Na leo hujapata tena??[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wewe, jiangalie.
Halafu kama kaja na povu la omo hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Baby, umeamua kutest zali. Mzee wa Tukuyu si wa kispoti spoti. We mchokoze tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuona tu.Amenisimo shemeji yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jakitoooooo unataka ugomvi eeh
Vp kishapatikana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba hata angekuwa mkali kiasi gani,siku akitoka safari huwapakata watoto wooote anao wakuta nyumbani pamoja na mama yao(japo kichapo kinaweza kuanza muda huo huo) huku wakicheka kwa furaha.Mwache shemeji wangu afurahie uwepo wanguBaby, umeamua kutest zali. Mzee wa Tukuyu si wa kispoti spoti. We mchokoze tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]