Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Du wanathamini sana matiti kuliko msaWazungu wakiona matiti hivi nje maweeeee ! Kwao ni afadhali uachie nje makalio lakini siyo matiti....Cultures....
HiHello
Tupo poa kabisaMko poa humu
Shemeji,hii kesi ipo siku itaisha? Mbona nililipa na uliwapokea (japo kwa shingo upande)wale wenye vichwa vikubwa?Imagine mtu huna kadeni hata kamoja. Yatakuwa maisha gani hayo? Kama sitadaiwa benki basi kwa wakwe lazima niwe na deni la mahari. Miaka na miaka tunazungushana kama alivyotufanyia Andjul kwa Nsamaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa utafiti upiTWAWEZA imefika mpaka Ulaya?
Usiku wa upendoJion ya upendo
Mpka unapotea hata kule upande wa pili sikuoniHajambo, yaani kanitight[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenye mapicha picha mbona sikuoniNilikuwa majukwaa mengine wapendwa
Yap mkuuHapa ni mwendo wa likes tu
HahahahahaAvatar hii jamani. Halafu tangu uanze kuitumia yaani ni kama vile umepoa kidogo. Aisee kama ni hivi afadhali tu uturudishie vurugu zetu za yule mama mwenye baiskeli na pipa lake kichwani. Kha !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]