mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha
Hahahahaha
Ziko nyingi Uzi unaweza jaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha
Hahahahaha kweli lakini
Wale tuliwakataa. Lete ushahidi kama unao.Shemeji,hii kesi ipo siku itaisha? Mbona nililipa na uliwapokea (japo kwa shingo upande)wale wenye vichwa vikubwa?
Hahahahaha
Hapana namsalimia salamu ya upendo kabisa na kummiss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jakitoooooo unataka ugomvi eeh
Carba anasoma hiziJinsi ya kupika
Menya ndizi na uzioshe vizuri kisha zikata vipande viwili weka katika maji.
Weka sufuria jikoni tia mafuta kidogo weka vitunguu vikaange vkilainika weka kitunguu saumu halafu weka nyanya iliyosagwa, chumvi na binzari. weka nyama iliyochemshwa koroga, maji ya nyanya yakianza kukauka weka hoho na karoti kisha weka ndizi changanya vizuri,weka tui la nazi koroga polepole hadi ichemke sasa acha kukoroga ili ndizi ziive baada ya muda kidogo weka tui zito koroga polepole halafu iache ichemke tena. ukiona ndizi zimeiva toa.
NB: ndizi hizi ni laini na chakula cha nazi usiache maji yakauke sana sababu ikishapoa inaganda.
Chakula hiki unaweza kula mchana,au usiku na ni kwa watu watatu hadi wanne.
Zaka sadaka
Hahahahaha, [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu, unamualika jukwaa husika ukamwagie povu la omo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimesharekebisha mkuu. Hapo siyo mahali pake. Nina nadharia zangu kuhusu hii ishu. Twende kule jukwaa lingine la mapovu bin Omo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Numbisa Mimi naona sawaMe too
Sijaona kilichopungua kwenye huu uzi