Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baby, umeamua kutest zali. Mzee wa Tukuyu si wa kispoti spoti. We mchokoze tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba hata angekuwa mkali kiasi gani,siku akitoka safari huwapakata watoto wooote anao wakuta nyumbani pamoja na mama yao(japo kichapo kinaweza kuanza muda huo huo) huku wakicheka kwa furaha.Mwache shemeji wangu afurahie uwepo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…