cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Yaani wale kiboko lakini wewe unawaweza! Mimi nilikuwa naishia kuwatukana na kuwa ignore! Nikajikuta nime ignore kama watu 30! Hahahaha
Amazing kwa kweli!Wow kwa kweli ni vizuri hadi inampa mtu raha sana.
Wengi humu wanatumia lugha mbaya, ila mimi nikikumbuka enzi za Makonda mwaka huu basi ningekula life ban na sijawahi kupata ban humu... sifikiri kama wale weak wangeweza maneno niliyorushiwa..wanaandika maneno machagu machafu unajikuta unacheka na kujibu lolote bali huwatukani.
Hilo jambo wengi hawalitambui maishani, kuwa haya ya kujijazia hasira halafu kwa kitu ambacho hakikuhusu kukuumiza ngozi yako ni inakuwa tabia zao na ukuaji wao.
Hadi PM kuna walikuja kunitishia maisha nikasoma sikuwajibu, ikawapa hasira zaidi eeeeeh kisa forum watu hatujuani na ni kuburudika
Dunia ina mambo, haitaki mtu uwe na hasira kali
HahahahaYaani wale acha tu
Siku hizi naweza kuona mtu hata ID sijuizoea, nikimpima nakuta anaishia kwenye ya Makonda, JPM namwambia oooh kumbe ulikuwa unanisoma na nimekupata eeeeeeh
Nadhani hili ndilo lengo letu binadamu hapa duniani japo hatulijui. Hata ukitajirika namna gani siku yako ikifika utaondoka tu na kuuacha utajiri wako. Ndiyo maana akina Bill Gates wanatumia utajiri wao karibu wote kujaribu kutatua matatizo ya watu masikini. Faraja yangu ni kwenda huko mahospitalini na kuwaliwaza wagonjwa sugu waliotelekezwa na ndugu zao. Hawa wana hadithi tamu zenye kuliza na kuliwaza na zilizojaa mafundisho. Najenga urafiki nao na wengine wanapoondoka hapa duniani huwa ni jukumu langu kuwalaza kwa heshima katika nyumba yao ya milele. Ooooh faraja iliyoje!
Hakuna baraka kubwa duniani kama kutoa msaada kwa watu wasio jiweza!Nadhani hili ndilo lengo letu binadamu hapa duniani japo hatulijui. Hata ukitajirika namna gani siku yako ikifika utaondoka tu na kuuacha utajiri wako. Ndiyo maana akina Bill Gates wanatumia utajiri wao karibu wote kujaribu kutatua matatizo ya watu masikini. Faraja yangu ni kwenda huko mahospitalini na kuwaliwaza wagonjwa sugu waliotelekezwa na ndugu zao. Hawa wana hadithi tamu zenye kuliza na kuliwaza na zilizojaa mafundisho. Najenga urafiki nao na wengine wanapoondoka hapa duniani huwa ni jukumu langu kuwalaza kwa heshima katika nyumba yao ya milele. Ooooh faraja iliyoje!
Natengwaaa.Safi upo!?
Siku hizi umepoa sana kwenye majukwaa, vipee?
Natengwaaa.
Wadada wa JF wananitenga. Kila nikiomba mtu anipm hakuna anayetaka. Nimebaki mpweke hadi inabidi nipotee. Labda wewe unaweza kuokoa jahazi?
Hahha .Mmmmh
Siwezi, kafate wa mitaani ulipo. Inaelekea umejulikana kwa wengi hadi umekuwa mpole eeeeh. Huwa nagundua ID nyingi za watu kuwa mdogo mdogo humu... na nilishajua ni hayo yenu ya PM. Mtajiju
HahahahaMmmmh
Siwezi, kafate wa mitaani ulipo. Inaelekea umejulikana kwa wengi hadi umekuwa mpole eeeeh. Huwa nagundua ID nyingi za watu kuwa mdogo mdogo humu... na nilishajua ni hayo yenu ya PM. Mtajiju
Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana