Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Greed not breed
Siasa za bara letu hili ni pasua kichwa. Afadhali hata mifumo mingjne kama ya Wachina huko !!!Uchaguzi Kenya "Vulu vulu". mikakati ya kumpa furani urais wa bure bure unaelekea kuligharimu taifa hilo
Njoo uchukue[emoji6] [emoji6]We si umeichukua[emoji23][emoji23][emoji23]
Majukumu sometimes yanakaba sana hasa kama upo sehemu ambayo huwezi kuibia ibia na kuingia humu !!!Siku hizi haonekani sana humu sijui ndo kubanwa na majukumu[emoji19][emoji19]