Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171018-WA0002.jpg
 
Faida Na Hasara Za Kupika Chakula
Sanaa ya kupika chakula kwa matumizi ya binadamu ni dhana kongwe katika historia ya mwanadamu. Sanaa hii inafaida na vile vile ina hasara. Ni makusudio ya makala hii kuziweka wazi faida na hasara hizo, na hatimae kutoa mapendekezo ya namna ya kupunguza hasara hizo.
 
Tukianza na faida; sanaa ya kupika chakula inafaida kadhaa, baadhi yake ni hizi.

Kwanza, kupika chakula kunasaidia kuua vijidudu vinavyoweza kuambukiza maradhi. Kwa kawaida, vyakula vibichi huwa na vijududu ambavyo vinaweza kuambukiza maradhi. Mfano wa vijidudu hivyo ni kama vile: Salmonella typhi, ambavyo husababisha ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid fever); na Vibrio cholerae ambavyo husababisha ugonjwa wa kipindupindu (Cholera). Ni vyema pia hapa tukakumb
 
Tano, kupika kunapunguza kiasi cha sumu inayoweza kuiwemo katika chakula hicho. Kwa kawaida baadhi ya vyakula huwa na sumu. Kwa mfano, mihogo ambayo ni michungu huwa na sumu inayoitwa cyanide. Sumu hiyo, hasa kwenye kisamvu (majani ya mti wa muhogo) hupungua kama kisamvu kitapikwa kwamuda wa kutosha.
 
Back
Top Bottom