mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Likes zipo za kumwaga mkuuNi kama mvua za vuli, leo zipo, kesho hazipo
Nawe kula likesCukua Gwala [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Majukumu kweli yanabana mpka nimebadili muda kugonga likesSiku hizi haonekani sana humu sijui ndo kubanwa na majukumu[emoji19][emoji19]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoa ikifa mzee wa tukuyu aisee atadai mahari yakeKila mtu anajua halafu mdaiwa pekee ndo anajifanya eti hajui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Atawalipa tu haijalishi kama ndoa ishakufa ama la!!!
Hatari sana tuwaombee wapite kipindi kigumu hikiUchaguzi Kenya "Vulu vulu". mikakati ya kumpa furani urais wa bure bure unaelekea kuligharimu taifa hilo
Kabisa mkuu siasa za kiafrika ni majangaSiasa za bara letu hili ni pasua kichwa. Afadhali hata mifumo mingjne kama ya Wachina huko !!!
Hata maendeleo nayo ni Shida sanaMiaka 60 sasa baada ya bara la Afrika kuwa huru, lakini demokrasia ya uchaguzi bado ni tatizo kubwa barani humu
Kweli mkuuMajukumu sometimes yanakaba sana hasa kama upo sehemu ambayo huwezi kuibia ibia na kuingia humu !!!
Nani huyo mkuuKipigo alichopata hatakaa akisahau
Si hasaWanasiasa
TupoWapinga mafisadi
Kutekwa tena[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unataka kunipeleka wapi[emoji23][emoji23]
Usijeniteka bure[emoji6][emoji6]
AMUN RAAmen [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mungu ni Mwema sana