Bob Kawari
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 1,231
- 1,624
Nime uliza swali tu sijamuonea wivu mke wa mtu kwanza ni dhambi.Acha kuwaonea wivu wake za watu[emoji3] [emoji3]
Kuna uzi mmoja jamaa kahoji mbona lisu kaumia zaidi mguu wa kulia na sio wa kushoto??Uzi gani huo uniq
Swali zuri lenye kuhitaji jibu ila siku hizi wengi hawapend challenges kama mie hapa so lazima watu mapovu yawatoke badala ya kumuelewesha kistaarabu mleta madaKuna uzi mmoja jamaa kahoji mbona lisu kaumia zaidi mguu wa kulia na sio wa kushoto??