Watu wengi hutumia tunda hili kutengeneza juisi ama ikiwa yenyewe tu au kwa kuchanganya na matunda mengine. Matunda ambayo hutumika kuchanganya na embe ni ndizi, nanasi, parachichi, zabibu, papai na kadhalika.
Kuna wengine hutumia mchanganyiko huo kwa kula bila kusagwa na wengine huamua kusaga na kugeuza kuwa juisi ambayo inaweza kutumika bila kuongeza sukari kwa kuwa matunda hayo yote yana sukari ndani yake.
Miongoni mwa vitu vinavyounda mlo kamili na ulio bora ni pamoja na matunda. Watu wengi wamekuwa na tabia ya kuambatanisha matunda katika milo yao jambo ambalo ni zuri kwa afya.
Japokuwa hili ni tunda la msimu, lakini watu wengi hulipenda na hulitumia mara kwa mara, pengine kwa kufahamu umuhimu wake kwa afya ama tu kwa kufurahia utamu wake.
Swali zuri lenye kuhitaji jibu ila siku hizi wengi hawapend challenges kama mie hapa so lazima watu mapovu yawatoke badala ya kumuelewesha kistaarabu mleta mada
Tunda hili ni moja ya matunda muhimu sana kwa afya ya binadamu kwani lina faida nyingi sana. hili ni moja ya matunda machache ambayo yanaupa mwili virutubisho vingi kwa wakati mmoja.
Hizi ni baadhi ya faida utakazozipata ukitumia embe kwa wingi.
Huongeza hamu ya kufanya mapenzi na nguvu za kiume
Tunda la embe lina wingi wa Vitamin E ambayo ni kichocheo kikubwa cha kukupa hamu ya kufanya mapenzi. Vile vile lina virutubisho muhimu ambavyo huwasaidia hasa wanaume katika kuimarisha misuli ya uume na kuwaongezea hamu ya kujamiiana. Hivyo ili kuboresha afya yako ya kimapenzi jitahidi kutumia tunda hili.
Utafiti umeonyesha kuwa virutubisho vinavyopatikana katika tunda la embe husaidia kuulinda mwili dhidi ya saratani mbalimbali kama vile saratani ya utumbo, matiti, tezi dume pamoja na saratani ya damu.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.