Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UGONJWA WA MAPAFU
Chungwa pia lina kiasi kikubwa cha Vitamin B6 na Madini ya Chuma (iron), virubisho ambavyo ni muhimu kwa uzalishaji wa seli nyekundu za damu, ambazo hufanya kazi ya kusafirisha hewa ya oksjeni mwilini, hivyo kuwa muhimu kwa kujikinga na ugonjwa wa mapafu.
 
AFYA YA NGOZI
‘Anti oxidants’ iliyomo kwenye chungwa, hutoa kinga kwenye ngozi ili isiharibike au kushambuliwa na magonjwa ya ngozi yanayoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Pia huifanya ngozi ‘isizeeke’.
 
KOLESTRO
Virutubisho vilivyomo kwenye chungwa, hasa kwenye maganda yake, hupunguza kiwango cha mafuta mabaya mwilini (bad cholesterol). Hivyo kwa wenye tatizo la lehemu wanashauriwa kula machungwa pamoja na nyama zake.
 
UKUAJI WA UBONGO
Chungwa moja lina kiasi cha asilimia 10 ya ‘folic acid’ inayohitajika mwilini kila siku. Madini haya ni muhimu kwa afya ya ngozi na ukuaji wa ubongo kwa ajili ya kuimarisha kumbukumbu na uwezo wa mtu wa kufikiri.
 
KINGA YA MWILI
Vitamin C iliyomo kwenye chungwa huimarisha uzalishaji wa seli nyeupe ambazo ni muhimu kwa uimarishaji wa kinga ya mwili. Unapokuwa na kinga imara, huwezi kusumbuliwa na magonjwa mara kwa mara, yakiwemo malaria.
 
KINGA YA MAGONJWA MENGI
Chungwa, siyo tu linatoa kinga kwa magonjwa yaliyoainishwa hapo juu, bali pia hutoa kinga hata kwa magonjwa mengine kama vile baridi yabisi (arthritis, rheumatism), pumu, kikohozi, kifua kikuu, nimonia na kisukari. Nakushauri kula machungwa au juisi yake halisi kuanzia leo ili kupata faida hizo.
 
UGONJWA WA MAFUA
Kutokana na wingi wa virutubisho vya kinga vilivyomo kwenye chungwa, ulaji wake mara kwa mara utakuepusha na magonjwa ya kuambukiza na vairasi (virus), kama vile mafua ambayo hivi sasa yanawasumbua watu wengi. Hivyo kula machungwa mengi kadii uwezavyo ili ujiepushe na mafua.
 
Ukosefu wa choo. Kutokana kuwa na kiwango kikubwa cha kirutubisho aina ya kambalishe (fibre), chungwa husaidia usagaji wa chakula tumbuni na hutoa ahueni kwa mtu mwenye matatizo ya ukosefu wa choo. Aidha, kambalishe huondoa kolestro na huimarisha kiwango cha sukari mwilini, hivyo chungwa ni zuri kwa wagonjwa wa kisukari.
 
Shinikizo la damu Virutubisho vya Magnesi (Magnesium) na ‘hesperidin’ vilivyomo kwenye chungwa, husaidia kuondoa tatizo la shinikizo la damu la juu (high blood pressure), hivyo machungwa ni mazuri kwa wagonjwa wa presha.
 
Ulaji wa chungwa hutibu maginjwa ya moyo. Kiwango kikubwa cha Vitamin C na virutubisho vya ‘flavonoids’, ‘phytonutrients’ vilivyomo kwenye chungwa, huondoa kwa mlaji hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo (Cardiovascular disease)!
 
Husaidia katika kuimarisha afya ya ngozi. ‘Anti oxidants’ iliyomo kwenye chungwa, hutoa kinga kwenye ngozi ili isiharibike au kushambuliwa na magonjwa ya ngozi yanayoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Pia huifanya ngozi ‘isizeeke’.
 
Faida za kula chungwa kiafya Machungwa ni miongoni mwa matunda ya msimu, ambapo kwa hapa Tanzania hupatikana kwa wingi katika mkoa wa tanga. Tukiachana na hayo je wewe ni mtumiaji wa machungwa? Kama jibu ni ndio, basi nichukue fursa hii kikupongeza sana. Na kwa wewe ambaye huna mazoea ya kutumia machungwa ni vyema ukaanza kutumia kuanzia leo kwani watalamu wanasema mtu anapotumia machingwa kuna uwezekano mkubwa kuweza kuzuia magonjwa yafuatayo. 1. Ukosefu wa choo. Kutokana kuwa na kiwango kikubwa cha kirutubisho aina ya kambalishe (fibre), chungwa husaidia usagaji wa chakula tumbuni na hutoa ahueni kwa mtu mwenye matatizo ya ukosefu wa choo. Aidha, kambalishe huondoa kolestro na huimarisha kiwango cha sukari mwilini, hivyo chungwa ni zuri kwa wagonjwa wa kisukari. 2. Shinikizo la damu Virutubisho vya Magnesi (Magnesium) na ‘hesperidin’ vilivyomo kwenye chungwa, husaidia kuondoa tatizo la shinikizo la damu la juu (high blood pressure), hivyo machungwa ni mazuri kwa wagonjwa wa presha. 3. Ulaji wa chungwa hutibu maginjwa ya moyo. Kiwango kikubwa cha Vitamin C na virutubisho vya ‘flavonoids’, ‘phytonutrients’ vilivyomo kwenye chungwa, huondoa kwa mlaji hatari ya kupatwa na magonjwa ya moyo (Cardiovascular disease)! 4. Husaidia katika kuimarisha afya ya ngozi. ‘Anti oxidants’ iliyomo kwenye chungwa, hutoa kinga kwenye ngozi ili isiharibike au kushambuliwa na magonjwa ya ngozi yanayoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Pia huifanya ngozi ‘isizeeke’. 5. Huzaidia uzalishaji wa kinga mwilini. Vitamin C iliyomo kwenye chungwa huimarisha uzalishaji wa seli nyeupe ambazo ni muhimu kwa uimarishaji wa kinga ya mwili. Unapokuwa na kinga imara, huwezi kusumbuliwa na magonjwa mara kwa mara, yakiwemo malaria.
 
Ingawa kitaalamu inafahamika kuwa binadamu anahitaji kulala usingizi kwa muda usiopungua saa nane ili awe na afya njema, kutokana na sababu mbalimbali watu wengi wanasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi.

Takwimu toka vyanzo mbalimbali zinaonyesha kuwa, asilimia 25 ya watu wazima wanasumbuliwa na matatizo ya usingizi na kiasi cha asilimia sita hadi 10 wanasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi.
 
Ingawa kitaalamu inafahamika kuwa binadamu anahitaji kulala usingizi kwa muda usiopungua saa nane ili awe na afya njema, kutokana na sababu mbalimbali watu wengi wanasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi.

Takwimu toka vyanzo mbalimbali zinaonyesha kuwa, asilimia 25 ya watu wazima wanasumbuliwa na matatizo ya usingizi na kiasi cha asilimia sita hadi 10 wanasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi.
 
Kukosa usingizi ni tatizo la kiafya na kwa sababu hiyo ni lazima liangaliwe kwa uzito unaostahili. Wahudumu wa afya hawana budi kuwauliza wagonjwa wao kuhusiana na hali ya kupata usingizi,” anasema Dk Ruth Benca, mtafiti wa masuala ya usingizi wa Chuo Kikuu cha Wisconsin-Madison nchini Marekani.
 
Kisisitiza kuhusu ukubwa wa tatizo la kukosa usingizi, Dk Rachel E. Salas, Profesa msaidizi wa masuala ya mfumo wa fahamu katika Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Johns Hopkins anasema: “Tatizo la kukosa usingizi siyo jambo linalojitokeza wakati wa usiku tu, ni tatizo la ubongo kwa saa 24, sawa na taa ya umeme inayowaka wakati wote, hata wakati wa mchana.”
 
Kukosa usingizi kwa muda mrefu siyo ugonjwa ila ni moja ya dalili ya baadhi ya magonjwa au matatizo ya kiafya. Mtu anaweza kushindwa kupata usingizi unapokwenda kulala (mwanzoni) au kushindwa kupata usingizi tena baada ya kuamuka katikati ya muda wa kulala. Mwanzoni mtu analala vizuri, kisha usingizi unakatika na hapati tena usingizi. Lakini pia kuna baadhi ya watu hupata usingizi lakini wanaamka mapema kuliko kawaida.
 
Back
Top Bottom