KWA HAYA ,MAGUFULI ANASTAHILI HONGERA. Kila nikisoma threads mbali mbali humu JF zinazomhusu Rais Magufuli,nyingi ni za kulaumu tuu. Nabaki nikijiuliza hivi Hakuna zuri hata moja analilofanya? Huku Kwetu Kilimanjaro tulizoea kuona vijana wa kilewa pombe za viroba asubuhi kweupe, sasa hivi wameshika adabu. Ilikua ukienda ofisini yoyote ya serikali au makampuni unatazamwa kama kinyago, sasa hivi kuna adabu. Na je mahospitalini? Ilikua ukifika kabla hujaeleza kilichokupeleka ,kwanza u naombwa hela ya chai,sasa hivi wamekuawaoga. Na sasa kuna Habari ya Barrick na makinikia, mzungu keshaishiwa ujanja. Jamani mbona sion hata sifa hizi zikitolewa kwa Mtukufu Rais wala hata nae akiwa kama binadamu roho yake ijisikie vizuri? Kila siku ni kulaumu tuu? I