mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za usiku WATANZANIA
Unammiss malkia wako eeeh?
But seriously what happened? Alipigwa marufuku na mume kutembelea mitandao, anaumwa ama nini? Hata kama yuko bize namna gani, hata kuaga?
Uzi wetu pendwaMkuu hapa siyo likes tu na burudani pia zipo. Usishangae kuwakuta waheshimiwa hapa
HahahahaHahaha
IndeedWatu mnajitahid naona 500K kwenye kona
YapJiunge nasi tukimbize[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhah. Kembe ni kosa kucheka
Alipigania likes zake usiku na mchana for months halafu akapotea ghafla. Mwambie arudi azawaisi atakuta Mzee Ruta keshachukua usukani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]