Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1508432073830.jpg
 
Aiiiiiiiiiiii !!!

Jitu linaimbiwa wimbo kama huu halafu bado linanuna. Unanuna nini?

Leo nisamehe shemeji. Siko vizuri kisaikolojia leo. Kwema lakini umeimaliza siku yako vizuri?
Siku haziwezi fanana shemeji,pole ila jaribu kuona kila kitu kinachokutatiza in a positive way,Mungu akawe faraja yako

Niko na siku ya ovyo sijapata ona [emoji30][emoji30]ila niko poa
 
Back
Top Bottom