moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jirani jirani..Acha tu shemeji[emoji30][emoji30][emoji30]
Jirani jirani..Acha tu shemeji[emoji30][emoji30][emoji30]
Hahahahaha
HahahahahaWanaume Muumba Anawaona !!!
![]()
YopKwenye jukwaa hilo chungwa huitwa limao, baadaye mtu huyo huyo chungwa ataliita kwa jina lake halisi, inategemea hoja imeanzishwa na nani na kwa malengo gani. Jukwaa hilo ni pasua kichwa. Kuliko kwenda jukwaa la siasa heri utembelee intelligence ukavune maarifa
Aiseeeeee! Pole sana shemeji. Mungu Yupo nawe na hilo tu linatosha !Siku haziwezi fanana shemeji,pole ila jaribu kuona kila kitu kinachokutatiza in a positive way,Mungu akawe faraja yako
Niko na siku ya ovyo sijapata ona [emoji30][emoji30]ila niko poa
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] pokea 5Majogoo wa jiji
Nini kinaendelea hapo?![]()
Hyo picha imenikumbusha mbali aise
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisa na nimegundua kule kuna Stupid Thinker wengi sana
Lete shemeji. Nitashukuru sana !!!Kulia[emoji817][emoji817][emoji818][emoji818]
Ni therapy nzuri sana haijawahi niangusha
Nikuletee kitambaa cha kufuta machozi[emoji87] [emoji125] [emoji125]
Kula likes, mengine ni jukwaa lileeMwambie akule likes kwanza
YapGongeni likes kwa hiyari
YapAcheni tabia ya kugonga likes kwa upendeleo
Uzi wetu pendwa
YapLikes zaisizo za upendeleo
Mpare umekula za uso nini? Jukwaa lile nenda huko ukiwa umejiandaa kisaikolojia. Magreat thinkers wengi nadhani wanafanya kazi kiwanda cha Omo kwa sababu povu lao sio la kitoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kabisa na nimegundua kule kuna Stupid Thinker wengi sana