carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kweli kabisa,usione watu wanacheka ukaona wako sawa wengine wana mzigo mizito ni vile tu wameamua kuficha nyuma ya tabasamu ama vicheko vyaoKila mtu ana mizigo yake. Unayemlalamikia na kumlaumu wakati mwingine ana mizigo mizito ya matatizo kuliko uliyonayo wewe.