Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e4adc9c88f225eea195e61d068d701a2.jpg
 
Waache "wanaolalamika" nao watumie haki yao ya "kulalamika". Nadhani hawalalamiki bali wana-chit chat tu kama ilivyo kawaida ya uzi huu[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Always haya malalamiko yanawafurahisha wasioupenda uzi huu. Malalamiko sana yanaonyesha tuna uroho mkubwa wa likes. Sijaona kilichopungua wala kilichoongezeka. Nami nimetoa maoni tupunguze kulalamika
 
Back
Top Bottom