Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yap....Malalamiko ni sehemu ya post za kusakia likes [emoji3] [emoji3]
Ni kazi ya kuhamasisha tulimpa Myoya mwanzoni mwanzoni pale. Naye sijamuona hapa tangu juzi...
Yap....Malalamiko ni sehemu ya post za kusakia likes [emoji3] [emoji3]
Niko tayari. Tumbo moto kupanda ndege sasa 12 hrs juu ya Atlantic Ocean maweeee!!! Jakitoo njoo huku unipoze mama !!!Asante shemeji
Home sick?pole fanya urudi basi
"Funika kombe mwanaharamu apite" sipendi uchukizwe, HUTACHUKIA TENA. sasa nimeshajua kipi kinakukwaza. AMUN RANaboreka sana na malalamiko ya kupungua kwa likes. Asiyekupa mpotezee
Wabongo kwa maneno duh!Mgao 14,000/=
Nimeona picha nyingine ndo nikaelewa. Nimempenda huyo mzee na huyo dogo atakuja kumshukuru huko mbele ya safari !!!Huyo dogo hataki shule,mzee wake ndo kamfunga kamba na kumpeleka shule kwa lazima
Kamanda siku zake zilikuwa hazijafika. Kama siku zako hazijafika hufi hata iweje. Ni tukio la kusikitisha japo limegeuzwa ngazi ya kutokelezea kisiasa.Tumtumaini Mungu wetu aliyemponya kamanda
ShikamooKweli kabisa,usione watu wanacheka ukaona wako sawa wengine wana mzigo mizito ni vile tu wameamua kuficha nyuma ya tabasamu ama vicheko vyao
Utakuwa sawa tu,cha muhimu ni kuomba safari iwe salama na ufike salama kabisaNiko tayari. Tumbo moto kupanda ndege sasa 12 hrs juu ya Atlantic Ocean maweeee!!! Jakitoo njoo huku unipoze mama !!!
Baby, unataka nianze kushusha paraboz? Are you sad?When I heard that sound
When the walls came down
I was thinking about you
About you
When my skin grows old
When my breath runs cold
I'll be thinking about you
About you
When I run out of air to breathe
It's your ghost I see
I'll be thinking about you, about you
It was almost love, it was almost...[emoji445][emoji445][emoji445]
Rag'n'bone man
Unataka kuniomba nini?Shikamoo
Hahahahaha, aliingia msitu wenye simba na kiwembe[emoji3] [emoji3] [emoji3] aligongwa za kutosha, akakimbilia home hapa kuugulia machungu[emoji3] [emoji3] [emoji3] jukwaa lile siyo la kispot spotMpare umekula za uso nini? Jukwaa lile nenda huko ukiwa umejiandaa kisaikolojia. Magreat thinkers wengi nadhani wanafanya kazi kiwanda cha Omo kwa sababu povu lao sio la kitoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
Itakuwa hivyo bila shaka. Sleeping pills hazijawahi kuniangusha !!!Utakuwa sawa tu,cha muhimu ni kuomba safari iwe salama na ufike salama kabisa
Leo umejibu vyema sana[emoji7] [emoji7]Unataka kuniomba nini?
Shkamo mwenyewe,zeeka pekeyako[emoji23]
Usizizoee sana zile zinaleta addictionItakuwa hivyo bila shaka. Sleeping pills hazijawahi kuniangusha !!!
Safi tu,aje weweLeo umejibu vyema sana[emoji7] [emoji7]
Habari yako.
Kuna ma great thinkers wataanza kupotea muda si mrefu kwa sababu shemeji yangu yule naye siyo wa kispoti spoti pia.Hahahahaha, aliingia msitu wenye simba na kiwembe[emoji3] [emoji3] [emoji3] aligongwa za kutosha, akakimbilia home hapa kuugulia machungu[emoji3] [emoji3] [emoji3] jukwaa lile siyo la kispot spot