Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mapupu dah siyapendi dah! Yaani unatafuna kama unatafuna karatasi.Kwani haitoshi kunywa supu ya mapupu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:andjul
Najua mkuu. Hata kama ni id nyingine huwezi kutumia jina lile lile. It defeats the whole purpose...
Eti dungadunga! Haya bana...
Abeee Yego
Kumbe na wewe huyapendiMapupu dah siyapendi dah! Yaani unatafuna kama unatafuna karatasi.
Abeee Yego
Habari yako
Salama kabisa,sijui hukoUwiii...Safi sana, habari ya wewe?
Salama kabisa,sijui huko
Yaani usitaje hizo habari,usingizi waweza kata ujue?Huku safi aisee. Vipi mambo ya sungusungu? Au bado mapema!
Yaani usitaje hizo habari,usingizi waweza kata ujue?
Sante[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23] Pole!
Nataka nikuchagulie [emoji6]Kesho kipenzi
Nataka niweke hiyo yako lol![emoji6]
Nichagulie basi,mwisho wa kuchagua ni kesho asubuhi ukishindwa naweka yako[emoji6][emoji6]Nataka nikuchagulie [emoji6]
Kanakuita ili tu uitike hiyo abeee! Jana kalisema eti ukiitika hivyo kanalegea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abeee Yego
Habari yako
Afadhali hata usionje shemeji. Hayapaswi hata kuliwa japo yakitiwa pilipili walevi wa gongo wanayapenda balaa!Kumbe na wewe huyapendi
Me sijawahi kula na sitaki hata kuonja
Parabooz...Look into my eyes , you will see
What you mean to me.
Search your heart, search your soul
And when you find me there you'll search no more.