Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1504152770412.jpg
good night pipoz[emoji42][emoji42]
 
Kamanda siku zake zilikuwa hazijafika. Kama siku zako hazijafika hufi hata iweje. Ni tukio la kusikitisha japo limegeuzwa ngazi ya kutokelezea kisiasa.

Na Mungu kweli ndo tegemeo. Umeliwa kama unategemea wanasiasa ndo waje wakuokoe haijalishi ni wanasiasa wa aina gani... [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Kuna saa unaongeaga ukweli wa ngumi,hii comment ungeiweka jukwaa la siasa adi saiv ungekua tajiri wa mapovu. Watu hawaelewi tu kama siku imefika hata unyasi ukikudondokea unakwenda kama haijafika haijafika tu
 
Back
Top Bottom