Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
NipoooMkuu uniq, umerudi toka kule[emoji3]
HaaaaaaaSiyo kosa, ila si vibaya tukiambukizana furaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna saa unaongeaga ukweli wa ngumi,hii comment ungeiweka jukwaa la siasa adi saiv ungekua tajiri wa mapovu. Watu hawaelewi tu kama siku imefika hata unyasi ukikudondokea unakwenda kama haijafika haijafika tu
Duh kumbe nimeruka kihunzi,nipo kwenye diet ya busara. Mpaka busara zijae kwenye ubongo na medula zote bifu bye byeee hata mkilalamikia likes ndogo ntakua napotezea kuwaambia msilalamike. Nataman kupata likizo ndefu kama ya isis. Hope one day itawezekanaHaya mkuu [emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817]
Ndiyo maana mi hii avatar yako mpya siipendi. Umekuwa mpole mno bana. Mi hapo eti niliona nimetest zali kumbe walaaa! Nitaanza kupambana mpaka avatar hii ibadilishwe aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa anajua bhana acha tuMambo ya “I Found Someone”! I love this song.