Kanakuita ili tu uitike hiyo abeee! Jana kalisema eti ukiitika hivyo kanalegea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona na mimi nilifanya kusudi tu[emoji23][emoji23]Kanakuita ili tu uitike hiyo abeee! Jana kalisema eti ukiitika hivyo kanalegea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naipenda hii nyimboLook into my eyes , you will see
What you mean to me.
Search your heart, search your soul
And when you find me there you'll search no more.
Mkuu uniq, umerudi toka kule[emoji3]Hahahha
Umeniita??[emoji23][emoji23][emoji23]We bana kwa kunitilia kauzibe, kila kona yani! Hapa unachofanya ni kunicheleweshea riziki yangu tu, lakini haitapotea! [emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kosa, ila si vibaya tukiambukizana furaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahhah. Kembe ni kosa kucheka
Niliona na mimi nilifanya kusudi tu[emoji23][emoji23]
Sasahivi nitaanza kuitika "naam"
Naipenda hii nyimbo
Umeniita??[emoji23][emoji23][emoji23]