Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna saa unaongeaga ukweli wa ngumi,hii comment ungeiweka jukwaa la siasa adi saiv ungekua tajiri wa mapovu. Watu hawaelewi tu kama siku imefika hata unyasi ukikudondokea unakwenda kama haijafika haijafika tu

Ndio maana mimi huwa sitii mguu wangu huko siasani. Watu walishaji brainwash, kubishana na kuitana majina kwa kwenda mbele!
 
Duh kumbe nimeruka kihunzi,nipo kwenye diet ya busara. Mpaka busara zijae kwenye ubongo na medula zote bifu bye byeee hata mkilalamikia likes ndogo ntakua napotezea kuwaambia msilalamike. Nataman kupata likizo ndefu kama ya isis. Hope one day itawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…