Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Masud raia wa Burundi ameiambia Goal, wakati wa utambulisho huo kuwa anafurahi kutua Simba, katika nafasi ya kocha msaidizi, na kinachomfanya kufurahi ni kwa sababu hiyo ni timu kubwa Afrika Mashariki na Kati na atahakikisha anashirikiana vyema na kocha mkuu Joseph Omog, ili kuendeleza malengo ambayo wamejiwekea kwa msimu huu na inayokuja.
 
Nafurahi uongozi wa Simba kuniamini na kunipa nafasi hii ya kutoa mchango wangu kuifundisha timu yao niseme tu kwamba nipo tayari kushirikiana na viongozi, kocha mkuu Joseph Omog, pamoja na wachezaji lakini siku zote nitahakikisha nafanya kazi kwa uwezo bila kuogopa kufukuzwa," amesema Juma.
 
Kutia saini ya mwaka mmoja kuifundisha Simba kuna maliza uvumi ambao awali ulikuwa ukimuhusisha kocha huyo kujiunga na vinara hao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba pamoja na kocha wa Lipuli ya Iringa Selemani Matola.
 
Juma anakuwa kocha wa tatu raia wa burundi kufundisha timu za Ligi Kuu ya Tanzania wengine ni Ettiene Ndayiragije wa Mbao FC na Ramadhani Nsanzurwimo ambaye kama mambo yataenda sawa huenda akajizolea umaarufu kama ilivyo kuwa kwa Ndayiragije.
 
Akijibu anavyozungumziwa Mourinho kufuatia sare ya 0-0 ugenini dhidi ya Liverpool kwenye mechi ya Ligi Kuu Uignereza, Scholes aliiambia BT Sports alipoulizwa kucheza kwa kupaki basi ni mbinu sahihi kwa United: "Nadhani ni sawa kwa sasa, yawezekana, miaka miwili, mitatu au minne iliyopita isingekuwa sawa. Nadhani ni kwa sababu ya hali waliyokuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…