Unaweza kushinda mechi, usininukuu vibaya, unaweza kufunga magoli, lakini nadhani kile kilikuwa ndicho kiwango hasa cha Man United, alimudu kila kitu na walikaba vizuri sana na kupata pointi waliyoihitaji."
Bado wapo kwenye mbio za ubingwa, pointi mbili tu nyuma ya Manchester City wanaoshinda magoli mengi, wakisonga mbele kwa michuano ya nyumbani na Ulaya.
Baada ya sare dhidi ya Liverpool sasa wamepata ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Benfica michuano ya Ulaya, sasa wametanguliza mguu mmoja hatua ya mtoano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.