FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI. Mapera ni matunda yanayo patikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendelewi sana kutokana na ugumu wake wakati wa kuyatafuna pamoja na kuwa na mbegu mbegu nyingi. Hata hivyo matunda haya yana faida kubwa sana kwa afya ya mwili wa mwanadamu. Zifuatazo ni faida kumi za mapera
2. Ni kinga nzuri ya kisukari. Ulaji wa watu wengi unawaweka katika hatari ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari lakini matumizi ya mapera yatakupunguzia hatari ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari Hii ni kwa sababu mapera yana utajiri mkubwa sana wa Fibre. Fibre ni muhimu sana katika kupunguza kiasi cha sukari kwenye damu. Vilevile ni muhimu sana katika kuusafisha mfumo wa usahihi.
3. Kuimarisha Uwezo Wa Kuona Mapera yana utajiri mkubwa sana wa Vitamin A au Retinol ambayo ni muhimu sana katika kusaidia kuona vizuri. Hivyo basi kama ilivyo kwa karoti, mapera yanasaidia sana katika kuongeza na kuimarisha uwezo w a mtu kuona.

5. Kurekebisha Kiwango Cha Shinikizo La Damu Madini ya Potassium yaliyomo ndani ya mapera yanasaidia katika ku-normalise shinikizo la damu ( Blood Pressure ) Ndizi na mapera vina kiwango cha potassium sawa.

Nimemwambia baba narudi chuo mapema kujiandaa na mitihani ya SUP eti anauliza SUP ndio nini?
Nimemjibu
"SPECIAL UNIVERSITY PEOPLE "
Naona ameniongeza hela na hongera juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baba angu mtu wa Mwanza[emoji23]