konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,621
- 41,334
[emoji1360][emoji1360]
Unga umeiletea janga familia hii[emoji124] [emoji124] inahuzunisha sana.
Inasikitisha sana
Inasikitisha sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Duh kumbe nimeruka kihunzi,nipo kwenye diet ya busara. Mpaka busara zijae kwenye ubongo na medula zote bifu bye byeee hata mkilalamikia likes ndogo ntakua napotezea kuwaambia msilalamike. Nataman kupata likizo ndefu kama ya isis. Hope one day itawezekana
Konge na Harufu jana hamkutokeza hapa mida ya wanga. Afadhali leo mmekuja wakuu. Safi sana !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siku nikiwa bored naingia huko kutafuta mechi za kirafiki za mapovu makali,naandika wasivyopenda ili watu watoe mapovu ya kutosha kule hawapendi kukosolewa kabisaa au kumkosoa boss wao au kuongea ukweli
UsikoseNimeishia hapa kulike haya usiku mwema kesho wana like.