Binadamu tumefichwa yajayo. Imagine wote wametangulia mbele ya haki. Huzuni sana !!!
Huzuni sana KiongoziBinadamu tumefichwa yajayo. Imagine wote wametangulia mbele ya haki. Huzuni sana !!!
OK, nimetembea sana mchana uliopita, nimeona kuna mmoja huko anajiita yego masika, nilishangaa, nikadhani umetembelea huko kivingineSafi mkuu, wapi huko ulikoona? Siyo mimi aisee!