Naye hajaaga, siku mbili tu tunaisoma namba kumkosa hapa...Yap....
Ni kazi ya kuhamasisha tulimpa Myoya mwanzoni mwanzoni pale. Naye sijamuona hapa tangu juzi...
Huenda kuna walioamini kuwa kweli watajipatia noah[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wabongo kwa maneno duh!
Fanyeni kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hahahaha, foma zinamtosha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna ma great thinkers wataanza kupotea muda si mrefu kwa sababu shemeji yangu yule naye siyo wa kispoti spoti pia.