Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipimo vya damu hufanyika kuangalia shida ya viungo mbalimbali, pia ‘ultrasaundi’ ya matiti au mamografu hufanyika, pia kipimo cha kufyonza sehemu ya titi na kupima maabara huweza kuhitajika, hasa iwapo ni titi moja limevimba au ukuaji wa matiti ni wa kasi
 
Matibabu ya kukua kwa matiti ni pamoja na kutibu ugonjwa au shida ya awali, mfano kuacha dawa husika, kutibu saratani na kadhalika. Iwapo uchunguzi wa kina umefanyika na kuonyesha matiti yamekuwa yenyewe bila kuwepo kwa ugonjwa wowote, basi matibabu mazuri na halisi kundoa ukubwa wa matiti ni kufanyiwa upasuaji wa matiti
 
Nimemwambia baba narudi chuo mapema kujiandaa na mitihani ya SUP eti anauliza SUP ndio nini?

Nimemjibu
"SPECIAL UNIVERSITY PEOPLE "
Naona ameniongeza hela na hongera juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baba angu mtu wa Mwanza[emoji23]
Una bahati kuwa na baba mtu wa Mwanza !!!
 
Back
Top Bottom